Nenda kwa yaliyomo

Jimbo la Gôh-Djiboua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Jimbo la Gôh-Djiboua
Jimbo la Gôh-Djiboua is located in Côte d'Ivoire
Jimbo la Gôh-Djiboua
Jimbo la Gôh-Djiboua

Eneo katika Côte d'Ivoire

Majiranukta: 5°57′13″N 5°36′25″W / 5.95361°N 5.60694°W / 5.95361; -5.60694
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Gôh-Djiboua
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,605,286[1]

Jimbo la Gôh-Djiboua (kwa Kifaransa: District du Gôh-Djiboua) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko kusini mwa nchi[1].

Mwaka 2014, (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014) idadi ya wakazi ilikuwa watu 1,605,286[1].

Makao makuu yako Gagnoa.

  1. 1.0 1.1 1.2 "Districts of Côte d'Ivoire (Ivory Coast)". Statoids.com. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2019.