Mkoa wa Nawa
Jump to navigation
Jump to search
Mkoa wa Nawa | |
Mahali pa Mkoa wa Nawa (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Bas-Sassandra |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Bas-Sassandra |
Serikali [1] | |
- Prefect | Alliali Kouadio |
- Rais wa Baraza | Alain-Richard Donwahi |
Eneo [2] | |
- Mkoa | 9,193 km² |
Mkoa wa Nawa (kwa Kifaransa: Région de la Nawa) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Kusini Magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Soubré. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1,053,084.
Nawa kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Nawa", gouv.ci, accessed 23 February 2016.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Nawa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |