Jimbo la Montagnes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jimbo la Montagnes
Jimbo la Montagnes is located in Côte d'Ivoire
Jimbo la Montagnes
Jimbo la Montagnes
Eneo katika Côte d'Ivoire
Majiranukta: 6°56′30″N 7°39′14″W / 6.94167°N 7.65389°W / 6.94167; -7.65389
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Montagnes
Idadi ya wakazi
 - 2,371,920[1]

Jimbo la Montagnes (kwa Kifaransa: District des Montagnes) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko magharibi mwa nchi[1].

Mwaka 2014, (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014) idadi ya wakazi ilikuwa watu 2,371,920[1].

Makao makuu yako Man.

Mikoa[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 Districts of Côte d'Ivoire (Ivory Coast). Iliwekwa mnamo 12 Juni 2019.