Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Guémon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


auto
Mkoa wa Guémon
Mahali paMkoa wa Guémon
Mahali paMkoa wa Guémon
Mahali pa Mkoa wa Guémon (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Montagnes
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Montagnes
Serikali[1]
 - Prefect Sory Sangare
 - Rais wa Baraza Evariste Tié Méambly
Eneo[2]
 - Jumla 6,695 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 919,392
GMT (UTC+0)

Mkoa wa Guémon (kwa Kifaransa: Région du Guémon) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Uko katika Magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Duékoué. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 919,392.

Guémon kwa sasa imegawanywa katika Wilaya nne:

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Guémon" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.