Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Bounkani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


auto
Mkoa wa Bounkani
Mahali paMkoa wa Bounkani
Mahali paMkoa wa Bounkani
Mahali pa Mkoa wa Bounkani (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Zanzan
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Zanzan
Serikali[1]
 - Prefect Tuo Fozie,
 - Rais wa Baraza Hien Philippe
Eneo[2]
 - Jumla 22 091 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 267,167
GMT (UTC+0)

Mkoa wa Bounkani (kwa Kifaransa: Région du Bounkani) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Uko katika Kaskazini mashariki ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Bouna. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 267,167.

Bounkani kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Bounkani" Ilihifadhiwa 5 Novemba 2016 kwenye Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.