Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Gontougo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


auto
Mkoa wa Gontougo
Mahali paMkoa wa Gontougo
Mahali paMkoa wa Gontougo
Mahali pa Mkoa wa Gontougo (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Zanzan
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Wilaya Zanzan
Serikali[1]
 - Prefect Goun Germain Francois
 - Rais wa Baraza Kossonou Kouassi Ignace
Eneo[2]
 - Jumla 16.770 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 667,185
GMT (UTC+0)

Mkoa wa Gontougo (kwa Kifaransa: Région du Gontougo) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Uko katika Kaskazini mashariki ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Bondoukou. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 667,185.

Gontougo kwa sasa imegawanywa katika wilaya tano:

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Gontougo" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.