Mkoa wa Sud-Comoé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


auto
Mkoa wa Sud-Comoé
Mahali paMkoa wa Sud-Comoé
Mahali paMkoa wa Sud-Comoé
Mahali pa Mkoa wa Sud-Comoé (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Comoé
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Comoé
Serikali[1]
 - Prefect Boni Kouassi Albert
 - Rais wa Baraza Aka Aouélé
Eneo[2]
 - Jumla 7,189 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 642,620
GMT (UTC+0)

Mkoa wa Sud-Comoé (kwa Kifaransa: Région du Sud-Comoé) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Uko katika Mashariki ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Aboisso. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 642,620.

Sud-Comoé kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Sud-Comoé" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.