Mkoa wa Agnéby-Tiassa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mkoa wa Agnéby-Tiassa
Mahali pa Mkoa wa Agneby-Tiassa (kijani) katika Cote d'Ivoire
Mahali pa Mkoa wa Agneby-Tiassa (kijani)
katika Cote d'Ivoire
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Lagunes
Serikali [1]
 - Prefect Anatole-Privat Bako Digbe
 - Rais wa Baraza Nando Martin M'Bolo
Eneo [2]
 - Mkoa 9,080 km²
Tovuti: agneby-tiassa.ci

Mkoa wa Agneby-Tiassa (kwa Kifaransa: Région de l'Agnéby-Tiassa) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Uko katika kusini-mashariki ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Agboville. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 606,852.

Agneby-Tiassa kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Agnéby-Tiassa" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.