Wilaya ya Grand-Bassam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wilaya ya Grand-Bassam (far.: département de Grand-Bassam) ni moja kati ya wilaya 4 za Mkoa wa Sud-Comoé nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kusini- mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 136.891. [1] Makao makuu yako Grand-Bassam (mji).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na