Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya M'Bahiakro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


auto
Wilaya ya M'Bahiakro
Mahali paWilaya ya M'Bahiakro
Mahali paWilaya ya M'Bahiakro
Eneo la Wilaya ya M'Bahiakro.
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Lacs
Mkoa Iffou
Serikali[1]
 - Prefect Diby Konan
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 79,768
GMT (UTC+0)

Wilaya ya M'Bahiakro (kwa Kifaransa: département de M'Bahiakro) ni moja kati ya Wilaya tatu za Mkoa wa Iffou ulioko katikati mwa Cote d'Ivoire.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 79,768.

Makao makuu ya eneo hilo ni M'Bahiakro.

Wilaya ya M'Bahiakro sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.