Wilaya ya Issia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


auto
Wilaya ya Issia
Mahali paWilaya ya Issia
Eneo la Wilaya ya Issia.
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Sassandra-Marahoué
Mkoa Haut-Sassandra
Serikali[1]
 - Prefect Benjamin Effoli
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 327,901
GMT (UTC+0)

Wilaya ya Issia (kwa Kifaransa: département De Issia) ni moja kati ya Wilaya nne za Mkoa wa Haut-Sassandra ulioko Magharibi mwa Cote d'Ivoire.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 327,901.

Makao makuu ya eneo hilo ni Issia.

Wilaya ya Issia sasa imegawanywa katika tarafa zifuataz

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.