Wilaya ya Katiola
Jump to navigation
Jump to search
Wilaya ya Katiola | |
Eneo la Wilaya ya Katiola. | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Vallée du Bandama |
Mkoa | Hambol |
Serikali [1] | |
- Prefect | Omepieu Yul Lambert |
Wilaya ya Katiola (kwa Kifaransa: département De Katiola) ni moja kati ya Wilaya tatu za Mkoa wa Hambol ulioko katikati mwa Cote d'Ivoire.
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 106,905.
Makao makuu ya eneo hilo ni Katiola.
Wilaya ya Katiola sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Katiola kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |