Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Sassandra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


auto
Wilaya ya Sassandra
Mahali paWilaya ya Sassandra
Mahali paWilaya ya Sassandra
Eneo la Tafara ya Sassandra.
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Bas-Sassandra
Mkoa Gbôklé
Serikali[1]
 - Prefect Boni Koffi Ernest
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 299,500
GMT (UTC+0)

Wilaya ya Sassandra (kwa Kifaransa: département de Sassandra) ni moja kati ya wilaya mbili za Mkoa wa Gbôklé ulioko Kusini Magharibi mwa Cote d'Ivoire.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 299,500.

Makao makuu ya eneo hilo ni Sassandra.

Wilaya ya Sassandra sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.