Mkoa wa San-Pédro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


auto
Mkoa wa San-Pédro
Mahali paMkoa wa San-Pédro
Mahali paMkoa wa San-Pédro
Mahali pa Mkoa wa San-Pédro (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Bas-Sassandra
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Bas-Sassandra
Serikali[1]
 - Prefect Coulibaly Ousman
 - Rais wa Baraza Donatien Beugré
Eneo[2]
 - Jumla 12,790 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 826,666
GMT (UTC+0)

Mkoa wa San-Pédro (kwa Kifaransa: Région de San-Pédro) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Uko katika Kusini Magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni San-Pédro. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 826,666.

San-Pédro kwa sasa imegawanywa katika wilaya mbili:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "San-Pédro" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.