Mkoa wa Gbêkê
Jump to navigation
Jump to search
Mkoa wa Gbêkê | |
Mahali pa Mkoa wa Gbêkê (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Vallée du Bandama |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Vallée du Bandama |
Imara | 2011 |
Serikali [1] | |
- Prefect | Konin Aka |
- Rais wa Baraza | Jean Kouassi Abonouan |
Eneo [2] | |
- Mkoa | 8 996 km² |
Mkoa wa Gbêkê (kwa Kifaransa: Région de Gbêkê) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katikati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Bouaké. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1,010,849.
Gbêkê kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Gbêkê", gouv.ci, accessed 23 February 2016.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Gbêkê kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |