Mkoa wa Haut-Sassandra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mkoa wa Haut-Sassandra
Mahali pa Mkoa wa Haut-Sassandra (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Sassandra-Marahoué
Mahali pa Mkoa wa Haut-Sassandra (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Sassandra-Marahoué
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Sassandra-Marahoué
Serikali [1]
 - Prefect Brou Kouame
 - Rais wa Baraza Djedje Mady Alphonse
Eneo [2]
 - Mkoa 15,200 km²

Mkoa wa Haut-Sassandra (kwa Kifaransa: Région du Haut-Sassandra) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Uko katika Magharibi ya kati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Daloa. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1,430,960.

Haut-Sassandra kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Haut-Sassandra", gouv.ci, accessed 23 February 2016.