Mkoa wa Bafing
Mandhari
Mkoa wa Bafing | |
Mahali pa Mkoa wa Bafing (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Woroba |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Woroba |
Serikali[1] | |
- Prefect | Benoît Yao Kouakou |
- Rais wa Baraza | Diomande Lassina |
Eneo[2] | |
- Jumla | 8,650 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 183,047 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Bafing (kwa Kifaransa: Région du Bafing) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika kaskazini-magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Touba. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 183,047.
Bafing kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Agnéby-Tiassa" Ilihifadhiwa 5 Novemba 2016 kwenye Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bafing kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |