Mkoa wa Gbôklé
Jump to navigation
Jump to search
Mkoa wa Gbôklé | |
Mahali pa Mkoa wa Gbôklé (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Bas-Sassandra |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Bas-Sassandra |
Serikali [1] | |
- Prefect | Boni Koffi Ernest |
- Rais wa Baraza | Legre Dakpa Philippe |
Eneo [2] | |
- Mkoa | 7,225 km² |
Mkoa wa Gbôklé (kwa Kifaransa: Région du Gbôklé) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Kusini Magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Sassandra. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 400,798.
Gbôklé kwa sasa imegawanywa katika wilaya mbili:
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Gbôklé", gouv.ci, accessed 23 February 2016.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Gbôklé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |