Nenda kwa yaliyomo

Jimbo la Zanzan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Jimbo la Zanzan (kwa Kifaransa: District du Zanzan) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko Kaskazini mashariki mwa nchi[1].

Mwaka 2014, (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014) idadi ya wakazi ilikuwa watu 934,352[1].

Makao makuu yako Bondoukou.

  1. 1.0 1.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named statoids