Mkoa wa La Mé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mkoa wa La Mé
Mahali pa Mkoa wa La Mé (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Lagunes
Mahali pa Mkoa wa La Mé (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Lagunes
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Lagunes
Imara 2011
Serikali [1]
 - Prefect Sanogo Al Hassana,
 - Rais wa Baraza Sombo Yapi Jean-Claude
Eneo [2]
 - Mkoa 8,237 km²

Mkoa wa La Mé (kwa Kifaransa: Région de La Mé) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Uko katika Kusini ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Adzopé. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 514,700.

La Mé kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:

.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "La Mé", gouv.ci, accessed 23 February 2016.