Mkoa wa Marahoué

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


auto
Mkoa wa Marahoué
Mahali paMkoa wa Marahoué
Mahali paMkoa wa Marahoué
Mahali pa Mkoa wa Marahoué (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Sassandra-Marahoué
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Sassandra-Marahoué
Serikali[1]
 - Prefect Gbamele Kouame Adrien
 - Rais wa Baraza Abi Koffi Richmond
Eneo[2]
 - Jumla 4,222,48 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 862,344
GMT (UTC+0)

Mkoa wa Marahoué (kwa Kifaransa: Région de la Marahoué) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Uko katika Magharibi ya Kati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Bouaflé. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 862,344.

Marahoué kwa sasa imegawanywa katika wilaya tano:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Marahoué" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.