Mkoa wa Iffou
Mandhari
Mkoa wa Iffou | |
Mahali pa Mkoa wa Iffou (kijani) katika Cote d'Ivoire |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Lacs |
Serikali[1] | |
- Prefect | Koffi Akpolleh Kouame Albert |
- Rais wa Baraza | Koffi Moïse Koumoué |
Eneo[2] | |
- Jumla | 8,955 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 311,642 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Iffou (kwa Kifaransa: Région de Iffou) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katikati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Daoukro. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 311,642.
Iffou kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Iffou" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Iffou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |