Mkoa wa Folon
Jump to navigation
Jump to search
Mkoa wa Folon | |
Mahali pa Mkoa wa Folon (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Denguélé |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Denguélé |
Serikali [1] | |
- Prefect | Baladji Abdou Karim Barro |
- Rais wa Baraza | Cisse Sindou: |
Eneo [2] | |
- Mkoa | 7,239 km² |
Mkoa wa Folon (kwa Kifaransa: Région du Folon) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Kaskazini magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Minignan. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 96,415.
Folon kwa sasa imegawanywa katika Wilaya mbili:
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Folon", gouv.ci, accessed 23 February 2016.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Folon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |