Wilaya ya Abengourou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wilaya ya Abengourou
Eneo la Wilaya ya Abengourou.
Eneo la Wilaya ya Abengourou.
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Comoé
Mkoa Indénié-Djuablin
Serikali [1]
 - Prefect Fadi Ouattara

Wilaya ya Abengourou (kwa Kifaransa: département d'Abengourou) ni moja kati ya Wilaya tatu za Mkoa wa Indénié-Djuablin ulioko mashariki mwa Cote d'Ivoire.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 336,148.

Makao makuu ya eneo hilo ni Abengourou.

Wilaya ya Abengourou sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.