Nenda kwa yaliyomo

Jimbo la Yamoussoukro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo huru la Yamoussoukro)


Jimbo la Yamoussoukro
Jimbo la Yamoussoukro is located in Côte d'Ivoire
Jimbo la Yamoussoukro
Jimbo la Yamoussoukro

Eneo katika Côte d'Ivoire

Majiranukta: 6°48′32″N 5°16′23″W / 6.80889°N 5.27306°W / 6.80889; -5.27306
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Yamoussoukro
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 355,573

Jimbo la Yamoussoukro au Jimbo huru la Yamoussoukro (kwa Kifaransa: District autonome de Yamoussoukro) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire na ni moja kati ya majimbo huru mbili za nchi. Uko katikati ya nchi.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 355,573.

Makao makuu yako Yamoussoukro.