Wilaya za Cote d'Ivoire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Côte d'Ivoire Map.jpg

Wilaya za Cote d'Ivoire ni vitengo vya kiutawala chini ya ngazi ya mkoa. Nchi ya Cote d'Ivoire imegawiwa kwa mikoa 19 (regions) na kila mkoa huwa ndani yake wilaya kadhaa zinazoitwa departement. Ndani ya wilaya kuna kanda (sous-préfecture) na pia miji inayojitawala.

Afisa mtendaji mkuu wa wilaya ana cheo cha "préfet" ambaye nii mwakilishi wa serikali kuu. Kwenye ngazi za chini yuko afisa mtendaji mwenye cheo cha "sous-préfet" au katika miji meya na halmashauri yake wanaochaguliwa na wananchi.


Orodha ya wilaya za Cote d'Ivoire[hariri | hariri chanzo]

A[hariri | hariri chanzo]

B[hariri | hariri chanzo]

D[hariri | hariri chanzo]

F[hariri | hariri chanzo]

G[hariri | hariri chanzo]

I[hariri | hariri chanzo]

J[hariri | hariri chanzo]

K[hariri | hariri chanzo]

L[hariri | hariri chanzo]

M[hariri | hariri chanzo]

N[hariri | hariri chanzo]

O[hariri | hariri chanzo]

P[hariri | hariri chanzo]

S[hariri | hariri chanzo]

T[hariri | hariri chanzo]

V[hariri | hariri chanzo]

Y[hariri | hariri chanzo]

Z[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]