Tarafa ya Yamoussoukro
Mandhari
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Yamoussoukro)
Tarafa ya Yamoussoukro | |
Eneo la Tafara ya Yamoussoukro. | |
Imara: 2011 | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Wilaya | Lacs |
Mkoa | Bélier |
Serikali[1] | |
- Prefect | André Ekponon Assomou |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 310,056 |
GMT | (UTC+0) |
Tarafa ya Yamoussoukro (kwa Kifaransa: département de Yamoussoukro) ni moja kati ya tarafa nne za Mkoa wa Bélier ulioko kitovu mwa Cote d'Ivoire.
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 310,056.
Makao makuu ya eneo hilo ni Yamoussoukro.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tarafa ya Yamoussoukro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |