15 Novemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Novemba 15)
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 15 Novemba ni siku ya 319 ya mwaka (ya 320 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 46.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1926 - Azimio la Balfour linaanzisha Jumuiya ya Kibritania, mtangulizi wa Jumuiya ya Madola kama ushirikiano wa Uingereza na makoloni yake ya zamani
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1397 - Papa Nikolasi V
- 1862 - Gerhart Hauptmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1912
- 1874 - August Krogh, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1920
- 1887 - Marianne Moore, mashairi kutoka Marekani
- 1931 - Mwai Kibaki, Rais wa tatu wa Kenya
- 1933 - Gloria Foster, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1968 - Ol' Dirty Bastard, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1976 - Lucy Chege, mchezaji wa voliboli kutoka Kenya
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1280 - Mtakatifu Alberto Mkuu, O.P., askofu na mwalimu wa Kanisa kutoka Ujerumani
- 1630 - Johannes Kepler, mwanaastronomia kutoka Ujerumani
- 1839 - William Murdock, mhandisi Mwingereza, na mvumbuzi wa taa ya gesi
- 1885 - Mtakatifu Yosefu Mukasa Balikuddembe, mfiadini wa Uganda
- 1916 - Henryk Sienkiewicz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1905
- 1919 - Alfred Werner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1913
- 1959 - Charles Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Alberto Mkuu, Fidensyani, Valeriana, Viktorya na wenzao, Guria na Samona, Felisi wa Nola, Malo, Desderi wa Cahors, Marino na Aniano, Sidoni wa Rouen, Fintano wa Rheinau, Leopoldo III wa Austria, Roko, Alfonso na Yohane, Yosefu Pignatelli, Yosefu Mukasa Balikuddembe, Rafaeli Kalinowski n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 15 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |