Lucy Chege

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Lucy Chege (amezaliwa [[15 Novemba]) ni mchezaji wa voliboli kutoka nchini Kenya. Amekuwa nahodha ya timu ya kitaifa ya wanawake ya Kenya ya voliboli.[1]. Ameshiriki katika Kombe la Dunia la Voliboli. Nchini Kenya,anachezea kilabu cha voliboli cha Kenya Pipeline.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. FIBV: [Kenya picks 13 for Four Nations event]

Kigezo:Mbegu-wanamichezo-Kenya