Kampuni ya Kenya Pipeline

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kenya Pipeline)
Jump to navigation Jump to search
Vifaa vya kuhifadhi mafuta na bidhaa za mafuta

Kampuni ya Kenya Pipeline ni kampuni ya serikali yenye jukumu la kusafirisha ,kuhifadhi na kuwasilisha bidhaa za aina ya mafuta kwa wateja nchini Kenya ikitumia mfumo wake unaohusisha nchi nzima.

Kampuni hii hushirikiana na Shirika la Taifa la Mafuta nchini Kenya. Ina vifaa vya kuhifadhi na kusambaza mijini Eldoret, Kisumu, Mombasa, Nairobi na Nakuru. Vituo vya usambazaji vinahudumiwa na bidhaa zinazotoka kiwanda cha kusafisha mafuta na kuyagawanya yanavyofaa kilicho karibu na Nairobi. Bidhaa za ng'ambo ,pia, na zile zitokazo Kituo cha Kuhifadhi cha Kipevu karibu na Mombasa.[1]

Kampuni hii huhusika na vituo vya mafuta ya ndege katika uga wa ndege wa Jomo Kenyatta ,Nairobi na uga wa ndege wa kimataifa wa Moi,Mombasa..

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]