Fintano wa Rheinau
Mandhari
Fintano wa Rheinau (pia: Fintan, Findan, Findanus; Leinster, Ireland, 803/804 - Rheinau, Uswisi, 15 Novemba 878) alikuwa Mkristo ambaye alifanywa mtumwa huko Uskoti lakini alifaulu kutoroka.
Ndipo alipojitoa kikamilifu kwa Mungu na kwa upendo wake, kisha kufikia umri wa miaka 50 hivi akawa mmonaki wa utawa wa Wabenedikto.
Mwaka 856 alijifunga kuishi kama mkaapweke katika chumba kidogo karibu na kanisa hadi alipofariki miaka 22 baadaye [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Novemba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Fintan Birchler: Der Heilige Fintan: ein Muster der Christlichen Vollkommenheit, 1793, 643 S. Google Books
- Harald Derschka: Das Leben des heiligen Findan von Rheinau nach der St. Galler Vita Findani aus der Handschrift 317 der Vadianischen Sammlung, Kantonsbibliothek (Vadiana). In: Rorschacher Neujahrsblatt 84 (1994), S. 77–86 (Digitalisat).
- Georg Gresser: Artikel "Findan", in: Lexikon für Theologie und Kirche (LThK) Band 3, Spalte 1293, Freiburg 1995.
- Beatrix Zureich: Der heilige Fintan von Rheinau Sein Leben und seine Spiritualität. Miriam, Jestetten 2003. ISBN 978-3-87449-326-0.
- Reidar Th. Christiansen, "The People of the North", Lochlann: A Review of Celtic Studies 2/Norsk tidsskrift for sprogvidenskap, supplementary volume 6 (1962), 137–164. This reprints the early part of the Life of Fintan from Monumenta Germaniae Historica, Scriptores 15.1 (Hannover: Hahn, 1883), pp. 502–506, and includes a translation into English by Kevin Ó Nolan (pp. 155–164).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Biografie im ökumenischen Heiligenlexikon
- Video: Auf der Spur des Heiligen Fintan auf der Insel Rheinau
- https://web.archive.org/web/20070625091953/http://www.bautz.de/bbkl/f/findan.shtml Ekkart Sauser, FINDAN (Fintan): hl. Eremit, band 17, spalte 382
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |