Gerhart Hauptmann
Mandhari
Gerhart Hauptmann (15 Novemba 1862 – 6 Juni 1946) alikuwa mwandishi wa michezo ya kuigiza na mshairi kutoka nchi ya Ujerumani. Anajulikana hasa kwa tamthiliya yake "Wafumaji" (kwa Kijerumani Die Weber) iliyotolewa mwaka wa 1892. Mwaka wa 1912 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gerhart Hauptmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |