William Murdock

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
William Murdock

William Murdock (25 Agosti 175415 Novemba 1839) alikuwa mhandisi kutoka nchi ya Uingereza. Alivumbua na kubuni taa ya gesi.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Murdock kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.