Mto Mara
Mandhari
Kwa matumizi tofauti ya jina Mara angalia hapa Mara (maana)
Mto Mara ni mto wa Kenya na Tanzania. Beseni lake ni la km2 13,504, ambazo 65% ziko Kenya na 35% Tanzania.[1]
Hatimaye unaishia katika Ziwa Viktoria upande wa Tanzania (Mkoa wa Mara).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Mito ya Kenya
- Mito ya Tanzania
- Orodha ya mito ya mkoa wa Mara
- Mto Mara (Kenya)
- Mto Mara (Tharaka-Nithi)
- Mto Mara Kaskazini
- Mto Mara Kusini
- Mto Mara Mdogo
- Mto Mara wa Kati
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jim K. Kairu, "Biodiversity Action Plan for Sustainable Management: Mara River Basin" (WWF, 2008)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- gabepalacio.com: Mara River virtual Tour Archived 18 Mei 2020 at the Wayback Machine. (requires QuickTime plugin)
- The Mara Triangle The Mara River defines the boundaries of the Mara Triangle in the Masai Mara
- Serengeti Mara River flows from Masai Mara into Serengeti
- Geonames.org
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Mara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |