Tarafa ya Jacqueville
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jacqueville (wilaya))
Tarafa ya Jacqueville | |
Eneo la Tafara ya Jacqueville. | |
Imara: 2011 | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Wilaya | Lagunes |
Mkoa | Grands-Ponts |
Serikali[1] | |
- Prefect | Kouamé Jean-Noël N'Da |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 56,308 |
GMT | (UTC+0) |
Tarafa ya Jacqueville (kwa Kifaransa: département De Jacqueville) ni moja kati ya tarafa tatu za Mkoa wa Grands-Ponts ulioko Kusini mwa Cote d'Ivoire.
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 56,308 .
Makao makuu ya eneo hilo ni Jacqueville.
Tarafa ya Jacqueville sasa imegawanywa katika kata zifuatazo:
- Attoutou;
- Jacqueville.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tarafa ya Jacqueville kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |