25 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka 25 Disemba)
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Kwa Wakristo walio wengi 25 Desemba ni sikukuu ya Krismasi au kuzaliwa kwake Yesu Kristo.
Matukio [hariri]
- 1046 - Uchaguzi wa Papa Klementi II
- 1066 - William Mshindi wa Normandy anapokea cheo cha mfalme wa Uingereza.
- 1559 - Uchaguzi wa Papa Pius IV
Waliozaliwa [hariri]
- 1876 - Adolf Windaus (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1928)
- 1899 - Humphrey Bogart, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1904 - Gerhard Herzberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1971
- 1906 - Ernst Ruska (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1986)
- 1931 - Raphael S. Ndingi Mwana a'Nzeki aliyekuwa askofu mkuu wa Nairobi wa kanisa katoliki
Waliofariki [hariri]
- 795 - Papa Adrian I
- 1926 - Yoshihito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 1961 - Otto Loewi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1936)
- 1977 - Charlie Chaplin, mwigizaji filamu kutoka Uingereza