Wilaya ya Madinani
Mandhari
(Elekezwa kutoka Madinani (wilaya))
Wilaya ya Madinani | |
Eneo la Wilaya ya Madinani. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Denguélé |
Mkoa | Kabadougou |
Serikali[1] | |
- Prefect | Ibrahima Bayo |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 39,704 |
GMT | (UTC+0) |
Wilaya ya Madinani (kwa Kifaransa: département de Madinani) ni moja kati ya Wilaya tano za Mkoa wa Kabadougou ulioko Kaskazini magharibi mwa Cote d'Ivoire.
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 39,704.
Makao makuu ya eneo hilo ni Madinani.
Wilaya ya Madinani sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Madinani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |