Mto Lumi

Majiranukta: 3°32′44″S 37°45′17″E / 3.54556°S 37.75472°E / -3.54556; 37.75472
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Lumi (mto))

3°32′44″S 37°45′17″E / 3.54556°S 37.75472°E / -3.54556; 37.75472 Mto Lumi (au Lomi au Luffu) ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania (upande wa kaskazini mashariki) na ya Kenya (upande wa kusini).

Unatiririka hadi ziwa Jipe.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "BASELINE SURVEY REPORT FOR LAKE JIPE". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-06-22. Iliwekwa mnamo 10 December 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]