1975
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| ►
◄◄ |
◄ |
1971 |
1972 |
1973 |
1974 |
1975
| 1976
| 1977
| 1978
| 1979
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1975 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 25 Juni - Nchi ya Msumbiji inapata uhuru kutoka Ureno.
- 5 Julai - Visiwa vya Cabo Verde vinapata uhuru kutoka Ureno.
- 6 Julai - Visiwa vya Komori vinapata uhuru kutoka Ufaransa.
- 12 Julai - Visiwa vya Sao Tome na Principe vinapata uhuru kutoka Ureno.
- 11 Novemba - Nchi ya Angola inapata uhuru kutoka Ureno.
- 25 Novemba - Nchi ya Surinam inapata uhuru wake kutoka Uholanzi.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 19 Januari - Adrian Siaga, mwigizaji filamu kutoka Tanzania
- 25 Januari - Mia Kirshner, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 4 Februari - Natalie Imbruglia, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Australia
- 15 Machi - Eva Longoria, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 16 Machi - Sienna Guillory, mwigizaji filamu wa Kimarekani kutoka Uingereza
- 8 Mei - Enrique Iglesias, mwimbaji kutoka Hispania
- 8 Mei - Mohamed Gulam Dewji, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 24 Mei - Will Sasso, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 25 Mei - Lauryn Hill, mwanamuziki kutoka Marekani
- 27 Mei - Jadakiss, mwanamuziki kutoka Marekani
- 4 Juni - Angelina Jolie, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 8 Juni - Michael Buckley, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 23 Juni - Sibusiso Zuma, mchezaji mpira kutoka Afrika Kusini
- 22 Agosti - Rodrigo Santoro, mwigizaji filamu kutoka Brazil
- 1 Septemba - Maritza Rodriguez, mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka Colombia
- 16 Oktoba - Christophe Maé, mwimbaji kutoka Ufaransa
- 21 Oktoba - Henrique Hilário, mchezaji wa mpira kutoka Ureno
- 26 Novemba - DJ Khaled, mwanamuziki kutoka Marekani
- 29 Desemba - Joseph Haule, mwanamuziki wa rap kutoka Tanzania, anayejulikana kama Professor Jay
- 30 Desemba - Tiger Woods, mchezaji wa Golf kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 8 Februari - Robert Robinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1947
- 14 Februari - Julian Huxley (mwanabiolojia, na mkurugenzi wa kwanza wa UNESCO)
- 14 Februari - P. G. Wodehouse
- 24 Februari - Nikolai Bulganin
- 25 Februari - Elijah Muhammad, kiongozi wa Nation of Islam nchini Marekani (1934-1975)
- 13 Machi - Ivo Andric, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1961
- 26 Juni - Mtakatifu Josemaría Escrivá, padri mwanzilishi wa Opus Dei
- 27 Agosti - Haile Selassie, Mfalme Mkuu wa Ethiopia
- 10 Septemba - George Thomson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937
- 20 Septemba - Saint-John Perse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1960
- 30 Oktoba - Gustav Hertz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1925
- 5 Novemba - Edward Tatum, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958
- 7 Desemba - Thornton Wilder, mwandishi Mmarekani
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: