George Paget Thomson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka George Thomson)
George Thomson

George Paget Thomson (3 Mei 189210 Septemba 1975) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza elektroni. Mwaka wa 1937, pamoja na Clinton Davisson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Thomson ni mwana wa Joseph John Thomson aliyetuzwa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1908.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Paget Thomson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.