DJ Khaled

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
DJ Khaled
DJ Khaled mnamo 2011
DJ Khaled mnamo 2011
Jina la Kiraia Daverneius Jaimes
Jina la kisanii DJ Khaled
Nchi Marekani
Alizaliwa 1975
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake DJ
Mtayarishaji wa muziki
Mtangazaji wa redio
Miaka ya kazi 2006 - hadi leo
Kampuni Koch
Terror Squad, We The Best Music, Def Jam

Daverneius Jaimes (DJ) Khaled[1] (amezaliwa 26 Novemba, 1975 mjini New Orleans, Louisiana) anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama DJ Khaled[1], ambaye ni Mpalestina-Mwamerika wa kwanza kusikika kushirikiana na msanii Lil Wayne na Birdman kutoka katika single ya Way Of Life.[1] Huyu bwana ni DJ[2], mtayarishaji wa muziki na ni mtangazaji wa redio katika kituo cha redio ya WEDR.[3] Pia ni mwanachama wa kikundi cha muziki wa hip hop-Terror Squad, na amejisajili na Terror Squad Entertainment na Koch Records.[4]

Muziki[hariri | hariri chanzo]

Albamu zake[hariri | hariri chanzo]

Single zake[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Wimbo Nafasi iliyoshika[8] Albamu
U.S. Hot 100 U.S. R&B U.S. Rap
2006 "Holla at Me" (akimsh. Lil Wayne, Paul Wall, Fat Joe, Rick Ross & Pitbull) 59 24 15 Listennn... the Album
"Grammy Family" (akimsh. Kanye West, Consequence & John Legend) 124
"Born-n-Raised" (akimsh. Trick Daddy, Pitbull & Rick Ross) 123
2007 "We Takin' Over" (akimsh. Akon, T.I., Rick Ross, Fat Joe, Birdman & Lil Wayne)[9] 28 26 11 We the Best
"I'm So Hood" (akimsh. T-Pain, Trick Daddy, Plies & Rick Ross)[10] 19 9 5
2008 "Out Here Grindin'" (akimsh. Akon, Young Jeezy, Rick Ross, Trick Daddy, Lil Boosie, Ace Hood & Plies)[11] 38 49 We Global

Matayarisho yake[hariri | hariri chanzo]

Akiwa kama mtayarishaji, DJ Khaled anatumia jina la Beat Novacaine. Ametayarisha nyimbo zifuatazo:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]