Nenda kwa yaliyomo

We Takin' Over

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“We Takin' Over”
“We Takin' Over” cover
Vidume vilivyofana katika nyimbo hii
Single ya DJ Khaled akiwemo na Akon, T.I., Rick Ross, Fat Joe, Baby na Lil' Wayne
kutoka katika albamu ya We the Best
Imetolewa 1 Aprili 2007
Muundo Digital download
Aina Hip Hop
Pop Rap
Studio Koch Records/Terror Squad
Mtunzi Aliaune Thiam
Clifford Harris
Jose Cartagena
William Roberts
Dwayne Carter
Nathaniel Hills
Khaled Khaled
Mtayarishaji Danja
Certification Gold (RIAA)
Mwenendo wa za DJ Khaled
"Born-n-Raised"
(2006)
"We Takin' Over"
(2007)
"I'm So Hood"
(2007)
Mwenendo wa za Akon
"I Tried"
(2007)
"We Takin' Over"
(2007)
"Mama Africa"
(2007)
Mwenendo wa za T.I.
"I'm a Flirt (Remix)"
(2007)
"We Takin' Over"
(2007)
"Big Shit Poppin' (Do It)"
(2007)
Mwenendo wa za Rick Ross
"Push It"
(2006)
"We Takin' Over"
(2007)
"Get That Bread"
(2007)
Mwenendo wa za Fat Joe
"Make It Rain"
(2006)
"We Takin' Over"
(2007)
"I Won't Tell"
(2007)
Mwenendo wa za Lil' Wayne
"You Ain't Know"
(2007)
"We Takin' Over"
(2007)
"Speaker"
(2007)
Mwenendo wa za Birdman
"You Ain't Know"
(2007)
"We Takin' Over"
(2007)
"Pop Bottles"
(2007)

We Takin' Over" ni nyimbo ya hip-hop ya DJ Khaled. Nyimbo ilitoka ikiwa kama single yake ya kwanza kutoka albamu yake ya We the Best. Nyimbo imeshirikisha vichwa ngumu kama Akon, T.I., Rick Ross, Fat Joe, Birdman a.k.a "Baby" na Lil' Wayne, hao wote wameshiriki katika kukamilisha nyimbo hii.

Nyimbo ilitayarishwa na Danja. Nyimbo ilitolewa kupitia maduka ya iTunes ya Marekani kunako tarehe 27 Machi ya mwaka wa 2007 na kuthubutu kushika nafasi ya 51 katika chati za 100 bora za Billboard Hot kwa nyimbo za R&B/Hip-Hop hadi kufikia nafasi ya 28.

Ilikwenda katika chati za Billboard Hot kwa kipindi kilekile cha kutolewa kwa nyimbo - 14 Aprili 2007 na kushika nafasi ya 75, na ikaja kufikia hadi namba 26. Kwa upande wa chati za iTunes kwa nyimbo za Hip-Hop/Rap imeshika nafasi ya 12. Watu waliouza sura katika nyimbo hii alikuwa Pitbull, Junior Reid, Johnny Dang, T-Pain, Trina na Cool na Dre.[1]

Remix yake

[hariri | hariri chanzo]
Chati (2007) Nafasi
Iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 26
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 26
U.S. Billboard Hot Rap Tracks 11
U.S. Billboard Pop 100 36
  1. "The 77 Best Lil' Wayne Songs of 2007 : VIBE.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-11. Iliwekwa mnamo 2008-07-12.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]