Cash Money Records
Mandhari
Cash Money Records | |
---|---|
Shina la studio | Universal Music Group |
Imeanzishwa | 1991 |
Mwanzilishi | Bryan "Baby" Williams Ronald "Slim" Williams |
Usambazaji wa studio | Universal Records (U.S.) |
Aina za muziki | Contemporary R&B Southern Hip Hop Gangsta rap |
Nchi | Marekani |
Tovuti | http://www.cashmoney-records.com/ |
Cash Money Records ni studio ya kurekodia muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Studio ilianzishwa mnamo mwaka wa 1991, ikiwa chini ya ndugu wawili - Bryan "Baby" Williams na Ronald "Slim" Williams.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Filamu
[hariri | hariri chanzo]- Baller Blockin (2000) - uharifu/mapigano filamu imechezwa na Lil Wayne, Juvenile, B.G., Turk na Williams.
Wasanii
[hariri | hariri chanzo]- All Star Cashville Prince
- B.G. (alikuwepo sasa hivi hayupo)
- Birdman
- Glasses Malone
- Juvenile (alikuwepo sasa hivi hayupo)
- Lil Wayne
- Mack 10
- Mannie Fresh (alikuwepo sasa hivi hayupo)
- Pastor Troy
- Stacks
- Turk
- Yo Gotti
- Young Buck (alikuwepo sasa hivi hayupo)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Vingo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cash Money Records kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |