Nenda kwa yaliyomo

Birdman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Birdman
Birdman akiwa anatumbiza
Birdman akiwa anatumbiza
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii Birdman - Baby
Nchi Marekani
Alizaliwa 15 Februari 1969
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Mwanamuziki
Mtayarishaji
Mwigizaji
Miaka ya kazi 1992 - hadi leo
Kampuni Cash Money Records

Bryan "Baby" Williams (amezaliwa tar. 15 Februari 1969) ni rapa, mtayarishaji na mc kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la "Baby".

Mnamo mwaka 1991, Baby na kaka yake mkubwa - Ronald "Slim" Williams walianzisha studio ya muziki wa hip-hop maarufu kama Cash Money Records. Hapo awali alikuwa akitumuia jina la B-32 (Baby With The 32 Golds) na akatumia jina hilohilo kwa kutoa albamu yake ya kwanza ilioyokwendakwa jina la I Need a Bag of Dope kunako mwaka wa 1993.

Miaka ya usoni, akiwa bado anatumia jina la "Baby", Williams alirekodi albamu kadhaa akiwa na mtayrishaji wa muziki huo Bw. Mannie Fresh kama kundi la Big Tymers na kufanya kazi kama studio yake binafsi na kazi alkadharika.

Kunako tarehe 11 Desemba ya mwaka wa 2007, Williams ametoa albamu yake iitwayo 5 Star Stunna.

Mnamo mwezi wa Novemba 2007, Williams alitiwa mbaroni kwa kosa la kukutanika na fulushi la bangi. Aliachia huru kwa faini ya Dola za Kimarekani zipatazo 1,500.

Muziki[hariri | hariri chanzo]

Albamu zake[hariri | hariri chanzo]

Za ushirika[hariri | hariri chanzo]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Birdman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.