Get It Poppin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
“Get It Poppin'”
“Get It Poppin'” cover
Single ya Fat Joe akimshirikisha Nelly
kutoka katika albamu ya All or Nothing
Imetolewa 2005
Muundo Single, Digital Download
Imerekodiwa 2005
Aina Hip Hop
Studio Terror Squad
Mtunzi Fat Joe
Nelly
Mtayarishaji Scott Storch
Mwenendo wa za Fat Joe
So Much More
(2005)
Get It Poppin'
(2005)
akism. Nelly
I Don't Care
(2005)
ya Ricky Martin akimsh. Fat Joe na Amerie

"Get It Poppin'" ni wimbo wa rapa Fat Joe akimshirikisha rapa wa po - Nelly na umetoka mnamo mwaka 2005. Wimbo umetolewa ukiwa kama wimbo wa pili kutoka katika albamu yake ya All or Nothing, ya kwanza yake ilikuwa "So Much More," na kuthubutu kushika nafasi ya 9 katika chati za Billboard. Video yake yaonekana watu wakiwa katika kumbi ya starehe ya usiku na Nelly anaonekana wakiwa kifua wazi huku akiwa anachezacheza na Fat Joe. Waliouza sura katika video alikuwa T.I., Ying Yang Twins, Boyz N Da Hood, na Layzie Bone.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]