Boyz N Da Hood
Mandhari
Boyz N Da Hood ni kikundi cha rap ya Marekani Kusini cha gangsta Atlanta, Georgia. Zamani kiliitwa 'Bad Boy Record na ilikuwa na vijana kama Jeezy, Jody Breeze, Gorilla Zoe, Big Gee, na Big Duke.
Wameshirikiana mara kadhaa na Atlanta wenzake, msanii wa Georgia na studio ya Block Ent Yung Joc.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Boyz N Da Hood kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |