Nenda kwa yaliyomo

Ace Hood

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ace Hood akiwa Howard University.

Antoine McColister (anajulikana zaidi kama Ace Hood; alizaliwa Port St. Lucie, Florida, Mei 11, 1988) ni rapper wa Marekani.

Ace Hood alilelewa na mama yake na binamu Ty Barton Jr. huko Deerfield Beach. Alihitimu Shule ya Upili ya Deerfield Beach.

Hapo awali alikuwa amesainiwa na lebo ya DJ Khaled We the Best Music Group, Def Jam Recordings na Cash Money Record. Albamu yake ya kwanza kutoka ni Gutta-. Ametoa Albamu nne Blood,Sweat & Tears (2011) na Trials & Tribulations (2013). Anajulikana zaidi kwa nyimbo kali "Hustle Hard" na "Bugatti".

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ace Hood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.