Jealous One's Envy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jealous One's Envy
Jealous One's Envy Cover
Studio album ya Fat Joe
Imetolewa 24 Oktoba 1995
Imerekodiwa 1994-1995
Aina Hip hop
Urefu 47:54
Lebo Relativity, Terror Squad
Mtayarishaji Diamond D
L.E.S.
DJ Premier
Fat Joe
Domingo
Joe Fatal
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Fat Joe
Represent
(1993)
Jealous One's Envy
(1995)
Don Cartagena
(1998)

Jealous One's Envy ni jina la kutaja albamu ya pili ya msanii wa muziki wa hip hop, Fat Joe. Albamu ilitoka mnamo mwaka wa 1995. Albamu ilitayarishwa na Diamond D, L.E.S., DJ Premier, Fat Joe, Domingo, na Joe Fatal.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

# Jina Mtayarishaji (wa) Mwimbaji (wa) Muda Sampuli
1 "Bronx Tale" Diamond D Fat Joe, KRS-One 3:55 "Shoreline Drive" ya Sammy Nestico
2 "Success" Domingo Fat Joe 3:50 "Living in Dreams" by Herb Ohta
3 "Envy" L.E.S. Fat Joe 4:11 "Sexual Healing" ya Marvin Gaye
4 "Gangbanging Interlude" *Interlude* 0:54 Dialogue kutoka katika filamu ya The Warriors
5 "Fat Joe's in Town" L.E.S. Doo Wop, Fat Joe 3:42 "Ask of You" ya Raphael Saadiq
6 "Part Deux" Domingo Fat Joe 3:15 "Love Serenade" ya Barry White
7 "King NY" *Interlude* 1:01 Dialogue kutoka katika filamu ya King of New York
8 "The Shit Is Real (DJ Premier Remix)" DJ Premier Fat Joe 4:36 "The World is a Ghetto" ya Ahmad Jamal

"Uphill Peace of Mind" ya Kid Dynamite

9 "Fat Joe's Way" *Interlude* 1:01 "The Godfather Main Title" ya Nino Rota
10 "Respect Mine" Joe Fatal Fat Joe, Raekwon 3:20 "Holy Are You" ya The Electric Prunes
11 "Watch Out" Diamond D Fat Joe, Armageddon, Big Pun, Keith Nut 3:38 "Funky Man" ya Kool & the Gang
12 "Say Word" Domingo Fat Joe 3:29 "Munchies For Your Love" ya Bootsy's Rubber Band
13 "Success (DJ Premier Remix)" DJ Premier Fat Joe 4:10 "Hydra" ya Grover Washington, Jr.
14 "Dedication" Domingo, Fat Joe Fat Joe 3:24 "In the Mood" ya Tyrone Davis
15 "Bronx Keeps Creating It" Joe Fatal Fat Joe 3:28 "Holy Thursday" ya David Axelrod

Single za albamu[hariri | hariri chanzo]

Maelezo ya Single
"Success"
  • Imetolewa: 1995
  • B-side: "Part Deux"
"Envy"

Chati zake[hariri | hariri chanzo]

Chati (1995) Nafasi
ilizoshika[1]
U.S. Billboard 200 71
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums 7

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Kigezo:Mbegu-albamu-muziki