John Legend

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Legend by Sachyn Mital (cropped).jpg

John Legend (kwa majina yake anaitwa John Rogers Stephens; amezaliwa mwaka 1978) ni mwanamuziki wa Marekani.

Mwanamuziki huyo alitoa wimbo wake wa kwanza mwaka 2004 kwa jina la get lifted na nyingine inayoitwa all of me. Mwaka 2007 alipokea tuzo ya HAL DAVID STARLIGHT kutoka kwenye jumba maarufu la watunzi wa muziki, tuzo nyingine alishinda mwaka 2015 ambayo ilikuwa ya dhahabu, pia ameshinda tuzo kumi na moja za Grammy, aliendelea kupokea tuzo nyingine nyingi.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Legend kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.