Birdman (rapper)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Birdman akiwa Club Nokia.

Brian Williams (anajulikana kama Birdman) ni rapa wa Marekani. Yeye ndiye mwanzilishi wa Cash Money Records pamoja na kaka yake Ronald.

Alianza kazi yake kama mtendaji wa kampuni ya mafuta. Mnamo 1997, alikuwa sehemu ya kikundi cha rap kinachoitwa Big Tymers pamoja na Mannie Fresh. Ameshirikiana kwa muda mrefu na Lil Wayne na kwa sasa ni mmoja wa wanamuziki matajiri zaidi. Birdman ana jumla ya $ 160 milioni katika 2014.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Birdman (rapper) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.